WAZIRI NAPE NNAUYE AKABIDHIWA RASMI MAGETI YANAYOTUMIA MFUMO WA MASHINE ZA TIKETI ZA KIELETRONIKI KATIKA UWANJA WA TAIFA JIJINI DAR ES SALAAM
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akiweka kadi katika moja ya geti linalotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki tayari kuingia katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipita katika moja ya geti
linalotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika Uwanja wa
Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na watendaji wa Wizara
yake, wadau wa michezo, wanamichezo na wanahabari mara baada ya
kukabidhiwa na kuzindua rasmi mageti yanayotumia mfumo wa mashine za
tiketi za kieletroniki katika Uwanja huo Jijini Dar es Salaam Septemba
11, 2016.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel akizungumzia mradi
wa mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki katika
hafla iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba
11, 2016.
Rais wa Shirikisho la Mpira wa
Miguu Tanzania (TFF) Bw. Jamali Malinzi akitoa salamu za wadau wa mchezo
wa mpira wa miguu kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe.
Nape Moses Nnauye wakati wa hafla ya mkabidhiano ya mageti yanayotumia
mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki kwa Serikali katika Uwanja
huo Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Mkurugenzi wa Kampuni ya BCEG Bw.
Cheng Long Hai akizungumzia utekelezaji wa mradi wa mageti yanayotumia
mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki uliotekelezwa na kampuni yake
kwa Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
wakati wa hafla ya mkabidhiano ya mageti hayo yaliyofanyika katika
Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Mhandisi Mshauri wa mradi wa
mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki Mhandisi
Aloyce Mushi akieleza changamoto mbalilmbali kuhusu mradi huo kwa Waziri
wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye wakati wa
hafla ya mkabidhiano ya mageti hayo yaliyofanyika katika Uwanja wa Taifa
Jijini Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel pamoja na
Mkurugenzi wa Kampuni ya BCEG Bw. Cheng Long Hai wakitia saini hati za
makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za
kieletroniki katika hafla iliyofanyika Septemba 11, 2016 katika Uwanja
wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Katibu Mkuu Wizara ya Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel pamoja na
Mkurugenzi wa Kampuni ya BCEG Bw. Cheng Long Hai wakionesha hati za
makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za
kieletroniki katika hafla iliyofanyika Septemba 11, 2016 katika Uwanja
wa Taifa Jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipokea kadi za kuingia katika Uwanja
wa Taifa kwa ajili ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt
John Pombe Magufuli, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri
Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kutoka kwa Meneja Mradi kutoka kampuni ya
Selcom Tanzania Bw. Gallus Runyeta wakati wa hafla ya makabidhiano ya
mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki
iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11,
2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akionesha kadi za kuingia katika
Uwanja wa Taifa kwa ajili ya viongozi wakuuwa nchi wakiwemo Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt John Pombe Magufuli, Makamu wa
Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa
wakati wa hafla ya makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine
za tiketi za kieletroniki iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini
Dar es Salaam Septemba 11, 2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipokea Saluti kutoka kwa kiongozi wa
Bendi ya Polisi mara baada ya kumalizika kwa hafla ya makabidhiano ya
mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za kieletroniki
iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Septemba 11,
2016.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (katikati waliokaa) aliwa katika picha
ya pamoja na wadau wa michezo nchini mara baada ya kumalizika kwa hafla
ya makabidhiano ya mageti yanayotumia mfumo wa mashine za tiketi za
kieletroniki iliyofanyika katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
Septemba 11, 2016 kulia waliokaa ni Katibu Mkuu Wizara ya Habari
Utamaduni Sanaa na Michezo Prof Elisante Ole Gabriel na kushoto waliokaa
ni Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mhe. Felix Lyaniva.
Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa
na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimiana na Katibu Mkuu wa Wizara
yake Prof Elisante Ole Gabriel mara baada ya kuwasili katika Uwanja wa
Taifa kwa ajili ya kukabidhiwa rasmi mageti yanayotumia mfumo wa mashine
za tiketi za kieletroniki katika Uwanja huo Jijini Dar es Salaam
Septemba 11, 2016.
Picha zote na Raymond Mushumbusi WHUSM
No comments:
Post a Comment