WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMJULIA HALI SPIKA WA BUNGE JO NDUGAI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kulia) wakizungumza
na Spika wa Bunge, Job Ndugai (kulia) na kewe Fatma Mganga Ndugai
wakati wakati walipokwenda nyumbani kwa Spika Salasala jijini Dar es
salaam Agosti 19, 2016 kumjulia hali.(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kulia) wakiagana na
Spika wa Bunge Job Ndugai (kulia) na mkewe Fatma Mganga Ndugai (wapili
kushoto) wakati walipokwenda nyumbani kwa Spika, Salasala jijini Dar
es salaam Agosti 19, 2016 kumjulia hali.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa na mkewe Mary (wapili kulia) wakiagana na
Spika wa Bunge Job Ndugai (kulia) na mkewe Fatma Mganga Ndugai (wapili
kushoto) wakati walipokwenda nyumbani kwa Spika, Salasala jijini Dar
es salaam Agosti 19, 2016 kumjulia hali. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
No comments:
Post a Comment