WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AMJULIA HALI WAZIRI MKUU MSTAAFU MALECELA
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu, John
Malecela wakati alipomjulia hali jijini Dar es salaam Agosti 19, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri Mkuu Mstaafu, John
Malecela wakati alipomjulia halijijini Dar es salaam Agosti 19, 2016.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu
No comments:
Post a Comment