PICHA ZAIDI JINSI MWENYEKITI WA CCM, RAIS DK. MAGUFULI ARIPOTI RASMI, OFISI NDOGO YA MAKAO MAKUU YA CCM, LUMUMBA JIJINI DAR ES SALAAM, LEO
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. Johnn Magufuli akipokewa na Katibu Mkuu wa CCM,
Abdulrahman Kinana alipowasili leo, Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba jijini Dar es Salaam, ikiwa ni mara yake ya kwanza kufika katika
ofisi hiyo, akiwa Mwenyekiti wa Chama. Kulia ni Waziri Mkuu, Majaliwa
Kassim Majaliwa.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia wananchi na wanachama wa
CCM waliomlaki kwa shauku alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba, Dar es Salaam, leo
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia wananchi na wanachama wa
CCM waliomlaki kwa shauku alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba, Dar es Salaam, leo
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia wananchi na wanachama wa
CCM waliomlaki kwa shauku alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba, Dar es Salaam, leo
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia wananchi na wanachama wa
CCM waliomlaki kwa shauku alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba, Dar es Salaam, leo
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akimsalimia Mwenyekiti wa Jumuia ya
Wazazi Abdallah Bulenbo,alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba, Dar es Salaam, leo
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akimsalimia Angela Kairuki alipowasili
Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiendelea kuwasalimia wananchi na
wanachama wa CCM waliomlaki kwa shauku alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akisaini kitabu baada ya Katibu Mkuu wa
CCM, Abdulrahman Kinana (kulia), kumuonyesha Ofisi yake Mwenyekiti huyo,
alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam,
leo. Kushoto ni Wazir Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa, Naibu Spika wa
Bunge Dk. Tulia na Mweyekiti wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani
Madabida
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiendelea kusaini vitabu Ofisini kwake,
katika Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam, leo
Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana (kulia) akitoa maneno ya kumkaribisha
rasmi kwenye Ofisi yeke ya Uenyekiti wa CCM, Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk.
John Magufuli
Mwenyekiti
wa CCM, Rais John Magufuli akishukuru baada ya kusaini Vitabu na Katibu
Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana kumuonyesha rasmi ofisi.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwasalimia wananchi na wanachama wa
CCM waliomlaki kwa shauku alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba, Dar es Salaam, leo. Kulia ni Mama Janneth Magufuli, Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana. Na kushoto ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM,
Rajab Luhwavi, Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa na Mwenyekiti wa
CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akiwa mezakuu na viongozi waandamizi
alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM, Lumumba, Dar es Salaam,
leo
Msemaji
wa CCM, Christopher Ole Sendeka akimkaribisha Katibu wa NEC, Itikadi na
uenezi Nape Nnauye kumkariisha Katibu Mkuu wa CCM Abdulrahman Kinana,
ili kuendelea na shughuli
Mbunge wa Ilala Mussa Azan Zungu akizungumzabaada ya kupewa nafasi na Katibu wa NEC, Itikadi na uenezi, Nape Nnauye
Wananchi wakishangilia kwa bashasha Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. Magufuli
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida akizungumza kama
Mwenyeji wa mapaokezi ya Mwenyekiti wa CCM Rais Dk, John Magufuli
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi, ambaye pia ni Waziri wa Habari, Utamaduni,
Sanaa na Michezo, Nape Nnauye akimkaribisha Kinana kumkariisha
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. Magufuli kuzungumza na wana CCM na wananchi,
Nje ya Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM Lumumba Dar es Salaam, leo
Katibu Mkuu akimkaribisha Waziri Mkuu Majaliwa Kassim Majaliwa kabla ya kumkaribisha Dk. Magufuli
Waziri Mkuu Majaliwa Kaasim Majaliwa akizungumza kabla ya Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. John Magufuli kupanda jukwaani.
Wananchi wakishangilia
Naibu
Spika wa Bunge Dk. Tulia, akizungumza baada ya kukaribishwa na
Mwenyekiti wa CCM, Rais Dk. Magufuli kusalimia hadhara. Zifuatazo ni
Picha zinazoonyesha Dk. Magufuli akionyesha msisitizo wakati
akizungumza na wananchi na wanachama wa CCM.
Mwenyekiti
wa CCM, Rais Dk. John Magufuli akizungumza na wananchi na wanachama wa
CCM waliomlaki kwa shauku alipowasili Ofisi Ndogo ya Makao Makuu ya CCM,
Lumumba, Dar es Salaam, leo
Watu wa kila rika walimsikiliza Dk. Magufuli kwa makini sana
Baadaye
Dk. Magufuli alipanda jukwaa la Kikundi cha TOT na kucharaza tumba,
kuonyesha umahiri wake pia katika fani ya burudani.PICHA ZAIDIGONGA HAPA
No comments:
Post a Comment