IKULU:RAIS DKT JOHN POMBE MAGUFULI AMUAPISHA MKURUGENZI MKUU MPYA WA IDARA YA USALAMA
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli akimuapisha
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis
Kapilimba Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 24, 2016
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli akimsikiliza
Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis
Kapilimba akila kiapo cha maadili ya viongozi wa Umma Ikulu jijini Dar
es salaam leo Agosti 24, 2016Kushoto akisimamia zoezi hilp ni Kamishina wa Sekretarieti ya Maadili ya Viongozi wa Umma Jaji Mstaafu Salome Kaganda.
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli na Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan pamoja na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angellah J. Kairuki,
Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe George Masaju na Katibu Mkuu kiongozi
Engineer John Kijazi katika picha ya pamoja na viongozi wa vyombo vya
ulinzi na usalama baada ya kuapishwa kwa Mkurugenzi Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba Ikulu jijini Dar es salaam leo Agosti 24, 2016
Amiri Jeshi Mkuu Rais Dkt.John Pombe magufuli katika picha ya pamoja na viongozi wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya kuapishwa kwa Mkurugenzi
Mkuu wa Idara ya Usalama wa Taifa Dkt Modestus Francis Kapilimba Ikulu
jijini Dar es salaam leo Agosti 24, 2016.Picha na IKULU
No comments:
Post a Comment