HATIMAYE LOWASSA USO KWA USO NA JPM LEO KWENYE SHEREHE YA MIAKA 50 YA NDOA YA MZEE MKAPA
Waziri
Mkuu wa Zamani na aliyekuwa Mgombea Urais wa chama cha
CHADEMA,Mh.Edward Lowassa akijadiliana jambo na Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania,awamu ya tano,Dk John Pombe Magufuli,mapema leo
walipkwenda kushiriki misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu
awamu ya tatu,Mh Benjamin William Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa jijini
Dar leo
Picha ya pamoja mara baada ya misa hiyo
Rais Mstaafu awamu ya tatu,Mh Benjamin William Mkapa na Mkewe Mama Anna
Mkapa wakifurahia Jubilei ya Dhahabu ya ndoa jijini Dar leo
No comments:
Post a Comment