Waziri
Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda akiongea na wanafunzi wa darasa la
kwanza wa shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo
Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipoitembelea shule hiyo
hivi karibuni ili kuwasalimia wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule
hiyo.
Waziri
Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda akimsikiliza Glorius Nkinda ambaye ni
mwanafunzi wa darasa la kwanza katika shule ya Msingi ya Mchepuo wa
Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati
akijibu swali la Hesabu alilomuuliza. Mhe. Pinda alitembelea shule hiyo
hivi karibuni kwa ajili ya kuwasalimia wanafunzi na kujionea maendeleo
ya shule hiyo.

Waziri
Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda akimsikiliza Kelvin Agustino mwanafunzi
wa darasa la kwanza katika shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya
Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke alipokuwa akisoma
kitabu cha Kiingereza wakati alipoitembelea shule hiyo hivi karibuni ili
kuwasalimia wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.

Waziri
Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda akiwauliza maswali wanafunzi wa shule
ya awali wa shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo
Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipotembelea shule hiyo hivi
karibuni ili kuwasalimia wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
Waziri
Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda akiwauliza maswali wanafunzi wa shule
ya awali wa shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo
Mikwambe, Kigamboni Wilayani Temeke wakati alipotembelea shule hiyo hivi
karibuni ili kuwasalimia wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo.
Waziri
Mkuu Mstaafu Mhe. Mizengo Pinda akiwa katika picha ya pamoja na walimu
pamoja na wanafunzi wa darasa la tatu wakati alipoitembelea shule ya
Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Katavi iliyopo Mikwambe, Kigamboni
Wilayani Temeke wakati alipotembelea shule hiyo hivi karibuni ili
kuwasalimia wanafunzi na kujionea maendeleo ya shule hiyo. Picha na
Mpigapicha wetu
MHE. WAZIRI MKUU MSTAAFU MIZENGO PINDA ATEMBELEA SHULE YA MSINGI YA MCHEPUO WA KIINGEREZA
Reviewed by
crispaseve
on
5:12 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment