VIJANA WAANDAA MSAFARA WA HISANI KWA KUTUMIA MAGARI KUPINGA UJANGILI NA KUHAMASISHA UTALII WA NDANI
Mkurungezi
mtendaji wa Bongo Ride Idrisa Magesa akiongea na waandishi wa habari
(hawapo pichani) kuelezea makamilisho ya maandalizi ya msafara wa hisani
wa magari uliopewa jina Bongo Ride Charity Cruise (BRCC) ambao
utaambatana na kutembelea mbuga ya wanyama ya Tarangire Mkoani Arusha
ikiwa na lengo kupaza sauti kuhusu janga la ujangili na pia kuhamasisha
utalii wa ndani,kulia kwake ni Meneja Mawasiliano wa BRCC Krantz
Mwantepele na kushoto kwake ni Mkuu wa matukio Kelvin Edes,Pembeni yake
ni Mkurungezi wa Teamtezza Kennan Richard.
Meneja
Mawasiliano wa BRCC Krantz Mwantepele akiongea na waandishi wa habari
kuelezea kukamilika kwa maandalizi ya msafara wa hisani wa magari
uliopewa jina Bongo Ride Charity Cruise (BRCC) ) utaofanyika kuanzia
tarehe 25 -27 machi ambao utaambatana na kutembelea mbuga ya wanyama ya
Tarangire Mkoani Arusha ikiwa na lengo kupaza sauti kuhusu janga la
ujangili na pia kuhamasisha utalii wa ndani,kulia kwake ni Meneja
Mawasiliano wa BRCC Krantz Mwantepele na kushoto kwake ni Mkuu wa
matukio Kelvin Edes,Pembeni yake ni Mkurungezi wa Teamtezza Kennan
Richard .
Wawakilishi
wa Bongo Ride charity cruise wakisikiliza kwa makini maswali ya
waaandishi wa habari katika mkutano huo kuhusu kuhusu ya msafara wa
hisani wa magari uliopewa jina Bongo Ride Charity Cruise (BRCC) ambao
utaambatana na kutembelea mbuga ya wanyama ya Tarangire Mkoani Arusha
ikiwa na lengo kupaza sauti kuhusu janga la ujangili na pia kuhamasisha
utalii wa ndani.
No comments:
Post a Comment