SSRA yakutana na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE) kujadili mabadiliko na maendeleo mbalimbali katika Sekta ya Hifadhi ya Jamii
Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama cha Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA), Carina Wangwe, akizungumza wakati akiufungua mkutano wa mamlaka
hiyo na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), akimwakilisha
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, jijini Dar es
Salaam jana. (Picha zote na Kassim Mbarouk-www.bayana.blogspot.com)
Baadhi ya washiriki wa mkutano huo, wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA) na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama wa SSRA, Carina Wangwe, alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi, akimwakilisha
Mgeni rasmi, Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, Dar es Salaam
jana.
Washiriki wa mkutano huo, wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA) na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama wa SSRA, Carina Wangwe, alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi, akimwakilisha
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam
jana.
Baadhi ya washiriki wa mkutano wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA) na wadau wa Chama cha Waajiri Tanzania (ATE), wakimsikiliza Mkurugenzi wa Kitengo cha Tehama wa SSRA, Carina Wangwe, alipokuwa akitoa hotuba ya ufunguzi, akimwakilisha
Mkurugenzi Mkuu wa SSRA, Irene Isaka, Millenium Tower, Dar es Salaam
jana.
Mkurugenzi wa Huduma za Sheria wa Mamlaka ya Usimamizi na Udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii
(SSRA), Onorius Njole, akiwasilisha mada kuhusu Mfumo wa Kisheria wa usimamizi na udhibiti wa hifadhi ya Jamii Tanzania wakati wa mkutano huo, Millenium Tower, jijini Dar es Salaam
jana.
No comments:
Post a Comment