SERIKALI YA TANZANIA NA NORWAY ZASAINI MAKUBALIANO KUWEZESHA WAHANDISI WANAWAKE WANAOHITIMU VYUO VIKUU.
Msajili
wa Wahandisi (ERB) Eng. Steven Mlote akielezea mafanikio yaliyopatikana
tangu kuanza kwa Ushirikiano katika masuala ya Uhandisi kati ya ERB na
Serikali ya Norway.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Eng. Edwin Ngonyani
akijadiliana jambo na Balozi wa Norway nchini Tanzania, Hanne –Marie
Kaarstad wakati wa kusaini Makubaliano ya Awali ya Programu ya
kuwasaidia na kuwaendeleza Wahandisi wanawake walioko vyuoni yenye lengo
la kuongeza idadi ya Wahandisi waliosajiliwa kwa ngazi ya Ushauri leo
jijini Dar es salaam.
Naibu
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eng. Edwin Ngonyani
akifafanua jambo kwa Naibu Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway, Tone Skogen
(Katikati) kuhusu Mafanikio wanayoyapata Wahandisi Wanawake wa Tanzania
kutokana na msaada wa Mafunzo ya kuwasaidia na kuwaendeleza Wahandisi
wanawake walioko vyuoni kutoka Serikali ya Norway
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wahandisi nchini Prof. Ninatubu Lema (kulia) na Naibu Waziri
wa Mambo ya Nje wa Norway, Tone Skogen (kushoto) wakisaini Makubaliano
ya Awali ya Programu ya kuwasaidia na kuwaendeleza Wahandisi wanawake
walioko vyuoni yenye lengo la kuongeza idadi ya Wahandisi waliosajiliwa
kwa ngazi ya Ushauri.
Mwenyekiti
wa Bodi ya Wahandisi nchini Prof. Ninatubu Lema (kulia) na Naibu Waziri
wa Mambo ya Nje wa Norway, Tone Skogen (kushoto) wakibadilishana Hati
za Makubaliano ya Awali ya Programu ya kuwasaidia na kuwaendeleza
Wahandisi wanawake walioko vyuoni yenye lengo la kuongeza idadi ya
Wahandisi waliosajiliwa kwa ngazi ya Ushauri leo jijini Dar es salaam.
Mwenyekiti wa Bodi ya Wahandisi Nchini (ERB) Prof. Ninatubu Lema
akieleza mafanikio ya uhusiano mwema kati ya Tanzania na Norway katika
kusaidia Wahandisi Wanawake walioko nchini.Naibu
Waziri wa Mambo ya Nje wa Norway Tone Skogen (katikati), akiwa na
baadhi ya Wahandisi Wanawake walionufaika na Programu ya kuwasaidia na
kuwaendeleza Wahandisi wanawake walioko vyuoni na baadhi ya Viongozi wa
ERB.
No comments:
Post a Comment