WAZIRI WA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO MHE. UMMY MWALIMU ATEMBELEWA NA MABALOZI WA SWITZERLAND NA KOREA OFISINI KWAKE.
Waziri
wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.
Ummy Mwalimu katikati akizungumza na Balozi wa Korea Nchini Tanzania
(Song, Geum-Young) wa kwanza kushoto akiwa na Katibu wake Songwon Shin
wa pili kushoto.
Waziri
wa Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe.
Ummy Mwalimu akizungumza na Barozi wa Switzerland Nchini Tanzania,
Florence Tinguely Mattli wa kwanza kushoto akiwa na Mkuu wa Sekta ya
Afya ya Ubalozi wa Switzerland, Thomas Teuscher wa pili kushoto.
Balozi
wa Korea Nchini Tanzania, Song, Geum-Young akizungumza na Waziri wa
Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Mhe. Ummy
Mwalimu, wa pili kushoto ni Katibu wake Songwon Shin.
No comments:
Post a Comment