Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Edda Sanga akifungua warsha ya wadau wa
vyombo vya habari pamoja na baadhi ya wagombea wanawake, vijana na watu
wenyeulemavu, ambayo pia ilishirikisha wahariri kutoka vyombo anuai vya
habari nchini Tanzania. Warsha hiyo iliandaliwa na TAMWA.
Mwezeshaji katika warsha ya wadau wa vyombo vya habari pamoja na baadhi
ya wagombea wanawake, vijana na watu wenyeulemavu, Valeria Msoka
akizungumza katika warsha hiyo.
Mwezeshaji katika warsha ya wadau wa vyombo vya habari pamoja na baadhi
ya wagombea wanawake, vijana na watu wenyeulemavu, Valeria Msoka
(kulia) akizungumza katika warsha hiyo.
Mkurugenzi Mtendaji wa TAMWA, Edda Sanga (kulia) akifungua warsha ya
wadau wa vyombo vya habari pamoja na baadhi ya wagombea wanawake, vijana
na watu wenyeulemavu, ambayo pia ilishirikisha wahariri kutoka vyombo
anuai vya habari nchini Tanzania. Warsha hiyo iliandaliwa na TAMWA.
Wanahabari waliminya sauti za wanawake Uchaguzi Mkuu - Utafiti
Reviewed by
crispaseve
on
3:34 AM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment