UJENZI WA BARABARA YA MWENGE MPAKA MOROCCO WAENDELEA KWA KASI
Mafundi
wakijengea bomba la maji eneo la Makumbusho kwa kuliwekea zege na
nondo ili kulihakikishia usalama wake wakati wa ujenzi wa barabara ya
Mwenge-Morocco inayotarajiwa kukamilika mapema mwezi Mei mwaka huu.
Sehemu
ya Barabara ya Morocco kwenda Mwenge ikiwa katika hatua ya kutolewa
tabaka ya udongo wa chini na kuwekwa tabaka ya udongo mpya kama
inavyooenekana katika picha leo jijini Dar es Salaam .
Mafundi
kutoka kampuni ya Ujenzi ya ESTIM wakiwa kazini katika hatua ya kutoa
udongo wa chini kwa ajili ya kuweka udongo mpya ,ambapo ujnzi huo
unatarajiwa kumalika mapema Mei mwaka huu.
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
No comments:
Post a Comment