WAZIRI WA NCHI TAWALA ZA MIKOA NA IDARA MAALUM ZA SMZ AFUNGUA MRADI WA MAJI MAKUNDUCHI MKOA WA KUSINI UNGUJA
Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na
Idara Maalum Muh. Haji Omar Kheri akifungua pazia pamoja na kufungua
Maji kuashiria ufunguzi rasmin wa Mradi wa Maji safi katika Kijiji cha
Makunduchi Mkoa kusini Unguja, ikiwa ni shamrashamra za kuazimisha miaka
52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Baadhi ya wageni walikwa
waliohudhuria katika ufunguzi wa Mradi wa Maji safi uliozinduliwa
Makunduchi Mkoa wa Kusini Unguja ikiwa ni shamrashamra za kuazimisha
miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Tenki jipya la kuhifadhia Maji lililopo Makunduchi.
Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na
Idara Maalum Muh. Haji Omar Kheri akizungumza na wananchi wa Makunduchi
katika ufunguzi wa mradi wa Maji safi, ikiwa ni shamrashamra za
kuazimisha miaka 52 ya Mapinduzi ya Zanzibar. Amewataka wananchi wa
kijijihicho kushirikana na Mamlaka ya Maji Zanzibar (ZAWA) ili
kuendeleza miundo mbinu hiyo na piaamewata kuchangia kiasi cha pesa kwa
wale watakao pata Maji. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
Waziri wa Nchi Tawala za Mikoa na
Idara Maalum Muh. Haji Omar Kheri akisalimiana na wafanyakazi wa Mamla
ya Maji Zanzibar (ZAWA) mara baada ya kufika Kijiji cha Makunduchi
kufungua mradi wa Miji ikiwa ni shamrashamra za kuazimisha miaka 52 ya
Mapinduzi ya Zanzibar. Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment