Waziri Nape afanya ziara katika Kituo cha Michezo cha Jakaya Mrisho Kikwete Sports Park
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (wa tatu
kutoka kushoto) akimsikiliza kwa makini Kaimu Katibu Mkuu wa Chama cha
Alibino Tanzania Bw. Josephat Tomer wakati wa ziara maalumu ya
kutembelea Kituo cha michezo cha Jakaya Kikwete Sports Park na kushiriki
siku ya Albino Tanzania iliyoratibiwa na Kituo hicho kwa ushirikiana na
Chama cha Albino Tanzania.Kutoka kushoto ni Mkuu wa Utawala na
Uendeshaji wa Kituo hicho Bw. Richard Mtui, Afisa Mtendaji Mkuu wa
Syjmbion Power Bw. Paul Hinks na Mkufunzi wa Michezo katika Kituo hicho
Bw. Ray Power.
Waziri
wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye
akizungumza wakati wa ziara maalumu ya kutembelea Kituo cha michezo cha
Jakaya Kikwete Sports Park na kushiriki siku ya Albino Tanzania
iliyoratibiwa na Kituo hicho kwa ushirikiana na Chama cha Albino
Tanzania.Kutoka kushoto ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Symbion Power Bw. Paul
Hinks, Mkufunzi wa Michezo katika Kituo hicho Bw. Ray Power na Kaimu
Katibu Mkuu wa Chama cha Alibino Tanzania Bw. Josephat Tomer.
No comments:
Post a Comment