UMOJA WA WANAWAKE TUGHE TAWI LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUTANA, WAJADILI UMOJA NA USHIRIKIANO JIJINI DAR ES SALAAM
Mwenyekiti
wa Mfuko wa Kusaidiana wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Wafanyakazi wa
Serikali Kuu na Afya (TUGHE) tawi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Jackline Semu (kulia meza kuu) akizungumza na wajumbe wa Umoja huo
walipokutana katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es
Salaam kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano uliopo ndani ya umoja
wao. Katikati meza kuu ni Katibu wa Mfuko huo, Joyce Ngonyani na kushoto
meza kuu ni Mweka Hazina wa mfuko huo, Christina Kaale. Picha na Wizara
ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Mwenyekiti
wa Mfuko wa Kusaidiana wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Wafanyakazi wa
Serikali Kuu na Afya (TUGHE) tawi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,
Jackline Semu (kulia meza kuu) akizungumza na wajumbe wa Umoja huo
walipokutana katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es
Salaam kujadili masuala mbalimbali ya ushirikiano uliopo ndani ya umoja
wao. Katikati meza kuu ni Katibu wa Mfuko huo, Joyce Ngonyani na kushoto
meza kuu ni Mweka Hazina wa mfuko huo, Christina Kaale. Picha zote na
Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
No comments:
Post a Comment