MWENYEKITI
wa CCM, Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete akiwa na Mjumbe Maalum wa Marekani
katika Ukanda wa Maziwa Makuu, Thomas Perriello, baada ya mazungumzo
yao kuhusu hali ya Burundi, yaliyofanyika jana, Ofisi Ndogo ya Makao
Makuu ya CCM, Lumumba Dar es Salaam. (Picha na Bashir Nkoromo).
No comments:
Post a Comment