CHINA YATOA MAPENDEKEZO YA 13 KUKUA KWA UCHUMI NA KIJAMII
Mchambuzi
wa masuala ya Siasa
na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo ya
Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang,akihutubia
wajumbe waliohudhuria mkutano ambao Chama cha Kikomunisti cha Watu wa
China kilibainisha mapendekezo ya 13 ya mpango wa miaka 5 ya maendeleo
ya uchumi na kijamii, kwenye hoteli ya Dar es Salaam Serena.
Mchambuzi wa masuala ya Siasa
na Taluma za Jamii na Naibu Mkurugenzi wa Kamati ya Maendeleo ya
Jamii katika Wizara ya Elimu nchini China, Gu Hailiang, akihutubia
kwenye mkutano wa kuelezea mpango wa miaka mitano ya maendeleo ya
kiuchumi na kijamii kwenye hoteli ya Dar es Salaam Serena, wengine
pichani waliokaa meza kuu kushoto ni Mkuu wa Kitengo cha Mahusiano
Ubalozi wa China,Ndugu Zhang Biao ,Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es
Salaam Ndugu Ramadhani Madabida, Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Kukuza
Urafiki kati ya Tanzania na China Ndugu Kahama.
Sehemu
ya wajumbe walioshiriki mkutano huo ambao ulihusisha Wahadhiri wa Vyuo
vikuu na wanafunzi,shirikisho la vyuo vikuu pamoja na waandishi wa
habari na ujumbe kutoka chama cha Kikomunisti cha China.
No comments:
Post a Comment