Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani Atembelea Idara ya Uhamiaji Zanzibar.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani Mhe Hamad Yussuf Masauni akipata maelezo
kutoka kwa Afisi wa Uhamiaji Zanzibar wakati wa ziara yake katika Idara
ya Uhamiaji Zanzibar.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani Tanzania Mhe Hamad Yussuf Masauni akitembelea
Vitengo vya Idara ya Uhamiaji Zanzibar wakati wa ziara yake na kuangalia
Utendaji wa Idara hiyo Zanzibar.
Naibu
Waziri wa Mambo ya Ndani akimsikiliza Afisa Uhamiaji Zanzibar akitowa
maelezo ya jinsi ya kuweka kumbukumbu za Passport wakati wa ziara yake.
No comments:
Post a Comment