Mwanahabari wa ITV Bw. Spensor Lameck alamba nondo chuo cha Diplomasia
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na
Kimataifa, Mhe. Balozi Augustine Mahiga akihutubia jana wakati wa
mahafali ya Chuo cha Diplomasia yaliyofanyika jana chuoni hapo Kurasini
jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na wahitimu wa shahada mbalimbali,
Wahadhiri na wageni waalikwa ambapo mmoja wa Mwanahabari kutoka kituo
cha Televisheni cha ITV Bw. Spensor Lameck alikuwa ni mmoja wa wahitimu.
Waziri
wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Kikanda na
Kimataifa, Mhe. Balozi Augustine Mahiga akiwa katika jukwaa kuu na
viongozi mbalimbaliwa chuo hicho pamoja na wahadhiri wakati wa mahafali
hayo.
Mwanahabari
kutoka kituo cha Televisheni cha ITV Bw. Spensor Lameck akipata picha
ya pamoja na wahitimu wenzake wakati wa mahafali hayo.
Mwigizaji wa filamu Christina Manongi maarufu kama Sinta kulia akiwa na mhitimu mwenzake wakati wa mahafali hayo.
Mwanahabari
kutoka kituo cha Televisheni cha ITV Bw. Spensor Lameck akipata picha
ya pamoja na Christina Manongi maarufu kama Sinta kulia na mhitimu
mwenzao.
No comments:
Post a Comment