MKE WA MAKAMU WA RAIS MSTAAFU, MAMA ASHA BILAL AHITIMU STASHAHADA YA UZAMILI KATIKA MENEJIMENTI YA KIMATAIFA
Mke wa Makamu wa Rais mstaafu Mama Asha Bilal, (katikati) akiwa na
wahitimu wenzake walipokuwa wakitunukiwa Stashahada ya Uzamili katika
Menejimenti ya Kimataifa wakati wa Mahafali yao yaliyofanyika Chuo cha
Diplomasia Kurasini jijini Dar es Salaam, jana Januari 13, 2016. Picha
na Mafoto Media/Muhidin Sufiani
Mke
wa Makamu wa Rais mstaafu Mama Asha Bilal, (katikati) akiwa na wahitimu
wenzake Janeth Nyoni (kushoto) na Hadija Hashim, baada ya kutunukiwa
Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Kimataifa wakati wa Mahafali
yao yaliyofanyika Chuo cha Diplomasia Kurasini jijini Dar es Salaam,
jana.
Mke
wa Makamu wa Rais mstaafu Mama Asha Bilal, (wa pili kulia) akiwa na
baadhi ya wageni waalikwa wakati wa sherehe ya maafali yake
yaliyofanyika Chuo cha Diplomasia Kurasini jijini Dar es Salaam, jana
Januari 13, 2016. Mama Asha na wenzake walitunukiwa Stashahada ya
Uzamili katika Menejimenti ya Kimataifa.
Mke
wa Makamu wa Rais mstaafu Mama Asha Bilal, (wa kwanza kushoto) akiwa
katika picha ya pamoja na baadhi ya wageni waalikwa baada ya kutunukiwa
Stashahada ya Uzamili katika Menejimenti ya Kimataifa wakati wa Mahafali
yao yaliyofanyika Chuo cha Diplomasia Kurasini jijini Dar es Salaam,
jana
Mke
wa Makamu wa Rais mstaafu Mama Asha Bilal, (kushoto) akiwa na Meneja
Mfuko wa Pensheni wa PPF, Lulu Mengele, baada ya kutunukiwa Stashahada
ya Uzamili katika Menejimenti ya Kimataifa wakati wa Mahafali yao
yaliyofanyika Chuo cha Diplomasia Kurasini jijini Dar es Salaam, jana
Januari 13, 2016. Kulia ni mke wa Balozi wa Tanzania nchini Geneva, Rose
Mero.
Mke
wa Makamu wa Rais mstaafu Mama Asha Bilal, (katikati) akiwa na baadhi
ya wahitimu wenzake wa Chuo cha Diplomasia Kurasini jijini Dar es
Salaam, jana Januari 13, 2016, baada ya kutunukiwa Stashahada ya Uzamili
katika Menejimenti ya Kimataifa kwenye Mahafali yaliyofanyika Chuoni
hapo.
No comments:
Post a Comment