LADY IN RED MWAKA HUU KUFANYIKA TANZANIA NA UINGEREZA
Miongoni
mwa burudani maarufu duniani ni pamoja na "Fashion Industry' yaani
mitupio inayowafanya watu kuwa katika good appearance Wanawake kwa
Wanaume kuanzia miguuni mpaka kichwani. Wanamitindo kutoka hapa nchini
Tanzania wamekuwa na utaratibu wa kuandaa Fashion Show ambazo zinatoa
opportunity kwa Designers na Models.
Hivyo
basi new update kutoka Mama wa mitindo maarufu kama Asya Idarous ambaye
kila mwaka huandaa Fashion Show inayo wakutanisha Designers "Lady in
Red" amesema kuwa "Mwezi huu nitahakikisha "Lady in Red" inafanyika
Tanzania coz tarehe 17 January, 2016, nategemea kukutana na designers
pale Regency Hotel Mikocheni saa 10:00 jioni kwa ajili ya maandalizi ya
"Lady in Red" inayotegemea kufanyika 31/1/2016 katika ukumbi wa "Danken
House'.
Pia
Asya Idorous aliongeza kuwa "2016 "Lady in Red" itaifanyika Tanzania
na United_Kingdom (UK) Uingereza . So kwa wale wapenzi wa mitindo hapa
ndio pake staytuned yaani kitu ni "Lady in Red" Cheers 2016.
No comments:
Post a Comment