Wakili
wa upande wa walalamikaji (waliobomolewa )Abubakari Salim
akizungumza na Waandishi wa Habari juu ya kuahirishwa kwa kesi ya
Bomoabomoa kwa Wakazi wanaoishi maeneo ya mabondeni mpaka January 26
mwaka huu ambapo hukumu itatolewa rasmi.
Wananchi
wakimsikiliza Wakili wa upande wa walalamikaji (waliobomolewa
)Abubakari Salim leo baaada ya kuahirishwa kwa kesi ya Bomoabomoa,katika
Mahakama Kuu,Kitengo cha Ardhi jijini Dar es Salaam.Picha na Emmanue
Massaka wa Globu ya jamii
No comments:
Post a Comment