Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro wajipanga kuwatumikia wananchi waliowachagua
Makamu
Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Albert
Msole akizungumza kwenye baraza la Madiwani wa halmashauri hiyo kushoto
ni Mkuu wa wilaya hiyo Mahmoud Kambona na kulia ni Mwenyekiti wa
halmashauri hiyo Jackson Lesikar Sipitieck.
Mwenyekiti
wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara, Jackson Lesikar
Sipitieck na Makamu Mwenyekiti wa halmashauri hiyo Albert Msole
wakifuatilia kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika mji mdogo wa
Orkesumet
Baadhi
ya madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Simanjiro Mkoani Manyara,
wakifuatilia kikao cha Baraza la Madiwani kilichofanyika mji mdogo wa
Orkesumet.Picha na Joseph Lyimo - Globu ya Jamii, Manyara.
No comments:
Post a Comment