UN WAZINDUA MRADI WA KUKABILIANA NA MABADILIKO YA TABIANCHI, CHAMWINO DODOMA
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa
Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akipanda mti
kama ishara ya uhifadhi mazingira baada ya kuzindua mradi wa kupunguza
na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu
ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of Dodoma
region, Machali village, Chamwino District), katika Kijiji cha Machali
A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma katika utekelezaji wa moja kati ya
malengo ya maendeleo endelevu (SDGs).
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa
Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akimwagilia maji
kama ishara ya uhifadhi mazingira baada ya kuzindua mradi wa kupunguza
na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu
ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of Dodoma
region, Machali village, Chamwino District), katika Kijiji cha Machali
A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma katika utekelezaji wa moja kati ya
malengo ya maendeleo endelevu (SDGs).
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa
Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez pamoja na
Mkurugenzi Mkazi wa UNDP, Awa Dabo (kulia) wakieleka kukagua mradi wa
ufugaji wa shirika la Tanzania Environmental Friendly Association (TEFA)
huku wakiburudishwa na ngoma ya wenyeji wa kabila wa Kigogo, katika
Kijiji cha Machali A, wilaya ya Chamwino mkoa wa Dodoma katika
utekelezaji wa moja kati ya malengo ya maendeleo endelevu (SDGs).
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa Shirika la
Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akimtwisha ndoo ya maji
mkazi wa Kijiji cha Machali A wilayani Chamwino mkoa wa Dodoma, Zena
Mwalko baada
ya kuzindua mradi wa kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya
Tabianchi kwa kutumia nishati jadidifu ya jua (Mitigating Climate change
in vulnerable communities of Dodoma region, Machali village, Chamwino
District), katika Kijiji cha Machali A, wilaya ya Chamwino mkoani
Dodoma. Kushoto ni Mkurugenzi Mkazi wa UNDP, Awa Dabo.
Mratibu
Mkazi wa Mashirika ya Umoja wa Umoja wa Mataifa na Mwakilishi wa
Shirika la Mpango wa Maendeleo (UNDP), Alvaro Rodriguez akiwa kwenye
picha ya pamoja na wanakikundi cha ngoma cha Kijiji cha Machali A,
wilayani Chamwino mkoa wa Dodoma wakati wa hafla ya uzinduzi wa mradi wa
kupunguza na kukabiliana na mabadiliko ya Tabianchi kwa kutumia nishati
jadidifu ya jua (Mitigating Climate change in vulnerable communities of
Dodoma region, Machali village, Chamwino District), katika Kijiji cha
Machali A, wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma. Kushoto ni
Mkurugenzi Mkazi wa UNDP, Awa Dabo.
No comments:
Post a Comment