Mwenyeikiti
wa umoja wa wananchi wa Kibada, Kigamboni Jijini Dar es salaam Lugano
Mwampeta akimpa maelekezo kamishna wa Operation jeshi la zimamoto na
uaokoaji Tanzania CF, Rogatus Kipali wakati wa shughuli ya kumkabidhi
gari moja la kuzima moto lililofanyiwa matengenezo kwa nguvu ya wananchi
wa kibada kwa ajili ya kuwasaidia wakazi hao na majanga ya
moto,makabidiano hayo yaliyofanyika Kigamboni Kibada Jijini Dar es
salaam.
Gari la Jeshi la Polisi la zimamoto lilofanyiwa matengenezo na wananchi wa Kibada Kigamboni jijini Dar es Salaam.
Jeshi la Polisi wakifanya zoezi la uzimaji moto mara baada ya kukabidhiwa gari hilo. |
No comments:
Post a Comment