VODACOM NA MONEYGRAM WASAINI MKATABA WA MAKUBALIANO WA KUTOA HUDUMA ZA KIFEDHA
Ofisa
Mkuu wa Idara ya huduma za biashara za M-Pesa wa Vodacom
Tanzania,Jacques Voogt akiongea na waandishi wa habari(hawapo
pichani)wakati wa hafla ya Uzinduzi wa makubaliano ya ushirikiano wa
kutoa huduma ya kutuma na kupokea fedha kwa njia ya M-pesa na Moneygram
(Moneygram M-Pesa)ambayo itawanufaisha wateja wanaoishi Nje ya nchi
kutuma fedha na kuingia moja kwa moja kwa jamaa zao waliopo
nchini.Uzinduzi huo ulifanyika jijini leo Dar es Salaam.
003.Mkurugenzi
wa Mifumo ya Malipo ya Kitaifa wa Benki kuu ya Tanzania(BoT)Bernard
Dadi(katikati) na Makamu wa Rais wa Moneygram Afrika,Herve
Chomel(kulia)wakimshuhudia Ofisa Mkuu wa Idara ya huduma za biashara za
M-Pesa wa Vodacom Tanzania,Jacques Voogt(kushoto)akisaini mkataba wa
makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma ya kutuma na kupokea fedha
kwa njia ya M-pesa na Moneygram(Monegram M-Pesa)ambayo itawanufaisha
wateja wanaoishi Nje ya nchi kwa kutuma fedha na kupokea moja kwa moja
kwa jamaa zao waliopo nchini, Uzinduzi huo ulifanyika jijini leo Dar es
Salaam.
Mkurugenzi
wa Mifumo ya Malipo ya Kitaifa wa Benki kuu ya Tanzania(BoT)Bernard
Dadi(katikati) akiwashuhudia Ofisa Mkuu wa Idara ya huduma za biashara
za M-Pesa wa Vodacom Tanzania,Jacques Voogt(kushoto) na Makamu wa Rais
wa Moneygram Afrika,Herve Chomel(kulia)wakipongezana mara baada ya
kusaini mkataba wa makubaliano ya ushirikiano wa kutoa huduma ya
kutuma na kupokea fedha kwa njia ya M-pesa na Moneygram(Moneygram
M-Pesa)ambayo yatawanufaisha wateja wanaoishi Nje ya nchi kwa kutuma
fedha na kupokea moja kwa moja kwa jamaa zao waliopo nchini, Uzinduzi
huo ulifanyika leo jijini Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Moneygram Afrika,Herve Chomel(kushoto) na Ofisa Mkuu wa
Idara ya huduma za biashara za M-Pesa wa Vodacom Tanzania,Jacques
Voogt,wakiteta jambo wakati wa hafla ya Uzinduzi wa makubaliano
yaushirikiano wa kutoa huduma ya kutuma na kupokea fedha kwa njia ya
M-pesa na Moneygram (Moneygram M-Pesa)ambayo itawanufaisha wateja
wanaoishi Nje ya nchi kutuma fedha na kuingia moja kwa moja kwa jamaa
zao waliopo nchini.Uzinduzi huo ulifanyika jijini leo Dar es Salaam.
Mkurugenzi
wa Mifumo ya Malipo ya Kitaifa wa Benki kuu ya Tanzania(BoT)Bernard
Dadi(kulia) akijibu maswali kwa waandishi wa habari(hawapo pichani)
wakati wa hafla ya kusaini mkataba wa ushirikiano wa kutoa huduma ya za
kutuma na kupokea fedha kupitia njia ya M-pesa na Moneygram(Monegram
M-Pesa)kati ya Vodacom Tanzania na Moneygram huduma hizo zitawanufaisha
wateja wanaoishi Nje ya nchi kwa kutuma fedha na kupokea moja kwa moja
kwa jamaa zao waliopo nchini, Uzinduzi huo ulifanyika jijini leo Dar es
Salaam. ,Wanaoshuhudia kutoka kushoto ni Makamu wa Rais wa Moneygram
Afrika,Herve Chomel na Ofisa Mkuu wa Idara ya huduma za biashara za
M-Pesa wa Vodacom Tanzania,Jacques Voogt.
Makubaliano mapya yanawawezesha wateja kupokea pesa moja kwa moja kwenye akaunti za M-Pesa nchini Tanzania.





No comments:
Post a Comment