WAGOMBEA UBUNGE CCM WAKAMILISHA KAMPENI ZAO KATIKA KATA 25 JIJINI ARUSHA
Mkurugenzi
wa Bushback Safaris Mustafa Panju ambaye ni mtia nia ubunge wa jimbo la
Arusha kwa tiketi ya CCM akinadi sera zake mbele yawananchi na
wanachama wa chama hicho katika kata ya Themi viwanja vya Trans Foma
jijini Arusha katika mkutano wa wagombea 12 wa chama cha mapinduzi
,kuomba kura katika kata 25 ambapo katika kura ya maoni atapatikana
mmoja wa kupeperusha bendera ya CCM Arusha mjini(Habari Picha na Pamela
Mollel wa jamiiblog)
Kijana
aliyejitokeza kusikiliza sera za wagombea 12 wa CCM akisikiliza kwa
makini wakati Mkurugenzi wa Bushback Safaris Mustafa Panju akimwaga sera
zake kwa wananchi wa kata ya Themi viwanja vya Trans Foma jijini
Arusha
No comments:
Post a Comment