TTCL YASHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA WADAU WA MAWASILIANO
Mkurugenzi
wa Utawala na Rasilimali watu katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na
tekinolojia, Selina Lyimo akimkabidhi cheti cha shukrani, Mkuu wa Idara
ya Mkongo wa Taifa, wa Kampuni ya TTCL, Adin Mgendi wakati wa ufunguzi
wa mkutano wa Kimataifa ya siku mbili ya wadau wa mawasiliano wa mkongo
huo iliyoanza jijini Dar es Salaam Julai 28, 2015.
Mkurugenzi
wa Utawala na Rasilimali watu katika Wizara ya Mawasiliano, Sayansi na
tekinolojia, Selina Lyimo akimkabidhi cheti cha shukrani, Meneja
Uhusiano wa Kampuni ya Huwawei, Jimmy Liguo Jin wakati wa ufunguzi wa
mkutano wa Kimataifa ya siku mbili ya wadau wa mawasiliano wa mkongo
Taifa iliyoanza jijini Dar es Salaam.
Adin Mgendi akonesha ramani ya mtandao wa Mkongo wa Taifa wakati wa mkutano jijini Dar es Salaam.
Afisa
Mtendaji Mkuu wa Extensia, Tariq Malik (katikati) akifrahia jambo na
wadau mbalimbali wakati wa ufunguzi wa mkutano huo. Kulia ni Naibu
Waziri wa ICT, Postali na Huduma Uchukuzi wa Zimbabwe, Win Mlambo na
Mkurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu katika Wizara ya Mawasiliano,
Sayansi na Tekinolojia, Selina Lyimo.
No comments:
Post a Comment