Header Ads

Marekani na Tanzania zazindua Program ya Mbwa Maalum wa kubaini Dawa za kulevya na Pembe za ndovu

Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Lazaro Nyalandu akizungumza katika uzinduzi wa Program ya Mbwa maalumu kubaini dawa za kulevya na pembe za ndovu, akiwa na Kamishna wa Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani R. Gil Kerlikowse( wa kwanza kulia). Wengine ni Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Virginia Blaser ( katikati) akiwa na Eng. Mathayo.
Kamishna wa Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani R. Gil Kerlikowse ( wa kwanza kulia). akizungumza wakati wa uzinduzi wa Program ya Mbwa maalumu kubaini dawa za kulevya na pembe za ndovu. akiwa na Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Lazaro Nyalandu ( wa pili kulia) . Wengine ni Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Virginia Blaser ( wa pili kushoto) akiwa na Eng. Mathayo.
Waziri wa Maliasili na Utalii,Mhe. Lazaro Nyalandu wakiwa katika picha ya pamoja na Kamishna wa Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani R. Gil Kerlikowse akiwa ameinama amemshika mbwa( wa tatu kulia ) pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Virginia Blaser ( wa tatu kushoto) w uzinduzi wa Program ya Mbwa maalumu kubaini dawa za kulevya na pembe za ndovu uliofanyika katika Bandari ya Dares Salaam.
Waziri wa Maliasili na Utalii,.Mhe. Lazaro Nyalandu ( katikati) akiwa na Kamishna wa Idara ya Forodha na Ulinzi wa Mipaka ya Marekani R. Gil Kerlikowse( wa pili kushoto) pamoja na Kaimu Balozi wa Marekani nchini Bi. Virginia Blaser ( wa kwanza kushoto) wakiwa katika uzinduzi wa Program ya Mbwa maalumu kubaini dawa za kulevya na pembe za ndovu uliofanyika katika Bandari ya Dares Salaam

No comments:

Powered by Blogger.