Header Ads

Zaidi ya 74% ya wanandoa wamepata elimu ya afya ya uzazi na jinsia

 
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Digital Opportunity Trust Bw. Eliguard Dawson akizungumza na wananchi wa Mtaa wa Mbagala Zakheem uliopo wilayani Temeke leo wakati wa tamasha la Jamvi la Vijana lililoandaliwa na  Kituo cha Vijana cha UMATI –Temeke.
 Afisa Vijana wa Kituo cha Vijana UMATI –Temeke jijini Dar es Salaam akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani wakati  wa tamasha la Jamvi la Vijana lililoandaliwa na  Kituo hicho na kufanyika katika Mtaa wa Mbagala Zakheem uliopo wilayani Temeke leo
 Baadhi ya Vijana wakifuatilia maigizo kutoka kwa makundi mbalimbali ya vijana yaliyokuwa yakutoa elimu ya kuhusu afya ya uzazi na jinsia kwa nija ya sanaa ya maigizo wakati wa tamasha la Jamvi la Vijana lililoandaliwa na  Kituo cha Vijana cha UMATI –Temeke leo
 Kikundi cha sanaa kutoka kundi la Mkubwa na Wanawe wakiigiza kuhusu matumizi ya njia za uzazi wa mpango wakati wa tamasha la Jamvi la Vijana lililoandaliwa na  Kituo cha Vijana cha UMATI –Temeke na kufanyika katika mtaa wa Mbagala Zakheem leo
 Kikundi cha sanaa kutoka kundi la Mkubwa na Wanawe wakiigiza kuhusu matumizi ya njia za uzazi wa mpango wakati wa tamasha la Jamvi la Vijana lililoandaliwa na  Kituo cha Vijana cha UMATI –Temeke na kufanyika katika mtaa wa Mbagala Zakheem leo.
 Kikundi cha sanaa cha Ndio Sisi Group wakiigiza kuhusu matumizi ya njia za uzazi wa mpango wakati wa tamasha la Jamvi la Vijana lililoandaliwa na  Kituo cha Vijana cha UMATI –Temeke na kufanyika katika mtaa wa Mbagala Zakheem leo
 Kikundi cha sanaa cha Ndio Sisi Group wakiigiza kuhusu matumizi ya njia za uzazi wa mpango wakati wa tamasha la Jamvi la Vijana lililoandaliwa na  Kituo cha Vijana cha UMATI –Temeke na kufanyika katika mtaa wa Mbagala Zakheem leo. 
Mmoja wa vijana waliohudhuria Jamvi la vijana lililoandaliwa na  Kituo cha Vijana cha UMATI –Temeke na kufanyika katika mtaa wa Mbagala Zakheem akipata huduma ya ushauri nasaha ambayo ilikuwa ikitolewa bure wakati wa tamasha hilo leo.Picha na Frank Shija, WHVUM

No comments:

Powered by Blogger.