WAGANGA WA TIBA ASILI ZANZIBAR WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA MADAKTARI WA WIZARA YA AFYA
ya Afya Mnazi mmoja Mjini Zanzibar.
Mkuu
wa kliniki ya Kisukari Hospitali ya Mnazi mmoja Dkt. Faiza Kassim
(aliesimama) akizungumza na Waganga wa tiba asili na tiba mbadala kuhusu
mashirikiano ya utibabu wa magonjwa ya kisukari na presha.Ili kuepuka
mgonjwa mmja kutumia dawa za Hospitali na zile zinazotolewa na waganga
hao.
Mmoja
wa Waganga wa Tiba asili Bi. Zahra Hassan Ali akichangia katika semina
hiyo iliyofanyika ukumbi wa Wizara ya Afya mnazi mmoja Mjini Zanzibar.
Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
No comments:
Post a Comment