RAIS KIKWETE AONGOZA MAELFU YA WAOMBOLEZAJI KATIKA SHUGHULI YA KUAGA MWILI WA KAPTENI JOHN KOMBA,KARIMJEE JIJINI DAR LEO

Jeneza
lenye mwili wa aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Mbinga Magharibi na Mjumbe
wa Halmashauri kuu ya CCM,Marehemu Kapteni John Komba likiwa kwenye
viwanja vya Karimjee,jijini Dar es salaam,wakati wa shughuli ya kuaga.PICHA ZOTE NA OTHMAN MICHUZI
.jpg)
Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma wakitoa heshima za mwisho
kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga
Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es Salaam leo.Kapteni
Komba anatarajiwa kuzikwa kijijini Kwake Litui wilaya ya Nyasa Mkoani
Ruvuma.
Makamu wa Rais,Dkt. Mohamed Gharib Bilal na wake zake Mama Asha na Mama Zakhia wakitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa
jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam leo.
Rais Mstaafu wa awamu ya pili,Alhaj Ali Hassa Mwinyi akitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa
jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam leo.

Rais Mstaafu wa awamu ya tatu,Mh. Benjamin Mkapa na Mkewe Mama Anna Mkapa wakitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa
jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam leo.

Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa na Mkewe Mama Regina Lowassa wakitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John Komba,mbunge wa
jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es
Salaam leo.

Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akiifariji familia ya marehemu.

Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania, Luteni Jenerali Samuel
Ndomba akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu Kapteni John
Komba,mbunge wa jimbo la Mbinga Magharibi katika viwanja vya Karimjee
jijini Dar es Salaam leo.

Waziri
wa Nchi,Ofisi ya Waziri Mkuu,Sera na Uratibu wa Bunge,Mh. Jenista
Mhagama akitoa heshima za mwisho akifuatana na Naibu IGP,Abdulrahman
Kaniki.

Kingunge Ngombale–Mwiru akitoa heshima za mwisho.

Kamanda Kova.

Baadhi wa Waheshimiwa Wabunge wakiifariji familia ya Marehemu.

Mhe. Ole Sendeka akibubujikwa na machozi kuondokewa na Mbunge mwenzake.

Familia ya Marehemu.

Watoto wa Marehemu Kapteni John Komba wakitoa heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu baba yao.

Mjane wa Marehemu,Kapteni John Komba,Mama Salome Komba akiaga mwili wa mumewe

Khadija Kopa.

Umati
wa viongozi mbali mbali pamoja na wananchi wakiwa kwenye viwanja vya
Karimjee,jijini Dar es salaam wakati wa shughuli ya kuaga mwili wa
marehemu Kapteni John Komba.
No comments:
Post a Comment