Mwenyekiti
wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda (kushoto) akitoa mwongozo
wa uchangiaji wakati wa Semina iliyowakutanisha Wadau wa Maendeleo ya
Vijana, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara husika, kujadili Muswada
wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa
Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Kulia ni Waziri wa Habari, Vijana,
Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara. Semina hii imefanyika
tarehe 23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma.
Mwenyekiti wa Kamati ya Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda (katikati) akitoa ufafanuzi wa
jambo
wakati wa Semina iliyowakutanisha Wadau wa Maendeleo ya Vijana, Kamati
ya Maendeleo ya Jamii na Wizara husika, kujadili Muswada wa Sheria ya
Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa
ya tarehe 27/03/2015. Wengine ni Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na
Michezo, Dkt. Fenella Mukangara (kulia) na Katibu wa Kamati ya
Maendeleo ya Jamii, Hanifa Masaninga (kushoto). Semina hii imefanyika
tarehe 23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma.
Muwakilishi
kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma, Mgaya Ezekiel akichangia wakati wa Semina
ya kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka
2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Semina hii
iliyofanyika tarehe 23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini
Dodoma imewakutanisha Wadau, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara ya
Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara(kulia)
akifurahia jambo wakati wa Semina iliyowakutanisha Wadau wa Maendeleo ya
Vijana, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara husika, kujadili Muswada
wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa
Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya
Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda. Semina hii imefanyika tarehe
23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini
Dodoma.
Waziri
wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo, Dkt. Fenella Mukangara(kulia)
akifurahia jambo wakati wa Semina iliyowakutanisha Wadau wa Maendeleo ya
Vijana, Kamati ya Maendeleo ya Jamii na Wizara husika, kujadili Muswada
wa Sheria ya Baraza la Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa
Bungeni Ijumaa ya tarehe 27/03/2015. Kushoto ni Mwenyekiti wa Kamati ya
Maendeleo ya Jamii, Said Mtanda. Semina hii imefanyika tarehe
23-24/03/2015 katika ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma.
Muwakilishi
kutoka YUNA (Youth of United Nations Association), Saidi King’eng’ena
akitoa maoni wakati wa Semina ya kujadili Muswada wa Sheria ya Baraza la
Vijana Tanzania wa mwaka 2015, utakaowasilishwa Bungeni Ijumaa ya
tarehe 27/03/2015. Semina hii iliyofanyika tarehe 23-24/03/2015 katika
ukumbi wa Pius Msekwa, Mjini Dodoma imewakutanisha Wadau, Kamati ya
Maendeleo ya Jamii na Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo
No comments:
Post a Comment