Balozi wa Marekani Nchini amtembelea mwanasheria Mku wa Serikali
Balozi
wa Marekani nchini Tanzania Bw. Mark Childress akisaini kitabu cha
wageni baada ya kuwasili katika Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali
Leo Jijini Dar es Salaam.
Balozi
wa Marekani nchini Tanzania Bw. Mark Childress akimuaga Mwanasheria
Mkuu wa Serikali Bw. George Masaju alipomtembelea Ofisi ya Mwanasheria
Mkuu wa Serikali Leo Jijini Dar es Salaam
No comments:
Post a Comment