WAKATI MONDI AKIMUUDHI KILA SIKU..WEMA SEPETU AMTUSI SHEMEJI WA ZARI

KIMENUKA! Beautiful
Onyinye, Wema Sepetu ‘Madam’ amemporomoshea matusi mazito shemeji wa
Zarina Hassan ‘Zari’, King Lauwrance akidai amemuudhi sana kwa kitendo
cha kuvujisha picha inayomuonesha akiponda raha nchini Afrika Kusini
‘Sauz’ na mume wa Zari, Ivan Semwanga, Risasi Mchanganyiko linakupa
mchapo kamili.
No comments:
Post a Comment