Rais Kikwete aweka shada la Maua katika makaburi ya Marais Lusaka
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete na
mkewe Mama Salma Kikwete wakiweka shada la maua katika kaburi la
aliyekuwa Rais wa Zambia Michael Sata aliyefariki mwaka jana katika eneo
la maziko ya viongozi wa kitaifa jijini Lusaka Zambia leo.Rais Kikwete
alitumia wasaa huo pia kuweka shada la maua katika marais wa Zambia
waliofariki Marehemu Frederick Chiluba na Levy Mwanawasa. (picha na Freddy Maro)
No comments:
Post a Comment