Picha:Jengo la ofisi ndogo la Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Lumumba Dar es Salaam ambako ndiko kilizaliwa Chama cha Tanu limebomolewa ili kupisha ujenzi wa jengo jipya la chama cha mapinduzi
Wananchi
wakiangalia jengo la ofisi ndogo ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) la
Lumumba, ambapo kilizaliwa chama cha Tanu lililobomolewa kupisha ujenzi
wa jengo jipya la chama hicho Dar es Salaam jana
----
Dotto Mwaibale
JENGO
la ofisi ndogo la Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Mtaa wa Lumumba Dar
es Salaam ambako ndiko kilizaliwa Chama cha Tanu limebomolewa ili
kupisha ujenzi wa jengo jipya la chama hicho.
Akizungumza
Dar es Salaam jana, Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,Nape Nnauye
alisema jengo hilo limebomolewa kwa ajili ya matengenezo ya kawaida.
No comments:
Post a Comment