PICHA:BWENI LA WASICHANA SEKONDARI YA IDODI IRINGA LAWAKA MOTO TENA,LILIWAHI UA 13 MWAKA 2009
Bweni lililowaka moto.
Wananchi na wanafunzi wa shule ya sekondari Idodi Iringa
wakishiriki kuzima moto katika bweni la
wanafunzi wa kike
shuleni hapo amnbalo lilikuwa likiwaka moto jana asubuhi.
Sehemu ya wananchi wakishuhudia
------
MOTO
mkubwa ambao chanzo chake kinatajwa kuwa ni hitirafu ya umeme
umeteketeza bweni la wasichana katika shule ya Sekondari Idodi
wilaya ya Iringa mkoani Iringa .
No comments:
Post a Comment