PADRE MUNISHI AWEKWA WAKFU KUWA PAROKO KANISA KATOLIKI BALTIMORE MD





kwake ni mwambata wa kijeshi nchini Marekani na Canada Kanal Adolph Mutta.
Kikosi cha wanajumuiya wa Kenya wakiimba kumpongeza padre Mushi wakati wa matoleo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya wakatoliki watanzania Bw.Pius Mutalemwa na


mkewe.
Kushoto Bw.Gervas Wambura na katibu wa Jumuiya ya wakatoliki Dan Steven.
Mama Mhando.
Kikundi maalum kikitumbuiza baada ya ibada.



Kikundi maalum kikitumbuiza baada ya ibada.
Mwakilishi kutoka ofisi ya Meya wa Baltimore akitoa hotuba.
Padre Munishi akiwashukuru wote waliomkaribisha na kumpokea kwa ukarimu mkubwa.
Kutoka
kushoto kiongozi mkuu wa Padre Munishi, Askofu wa jimbo kuu la
Baltimore Dennis Maden, balozi Mula mula na padre Munishi baada ya ibada
ya misa kumalizika .
Kwa picha zaidi bofya umgana na Sundayshomari.com



No comments:
Post a Comment