Mama wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ambaye alitekwa juzi na watu wasiofahamika mkoani Geita, amefanyiwa upasuaji wa kichwa na jopo la madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC) mjini Mwanza.

Ester Jonas (30) ambaye ni mama mzazi wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi,
Yohana Bahati akiwa amelazwa kwenye chumba cha uangalizi maalumu katika
Hospitali ya Rufaa Bugando (BMC). Picha na Aidan Mhando
-----
Mama wa mtoto mwenye ulemavu wa ngozi ambaye alitekwa juzi na
watu wasiofahamika mkoani Geita, amefanyiwa upasuaji wa kichwa na jopo
la madaktari wa Hospitali ya Rufaa ya Bugando (BMC) mjini Mwanza.
No comments:
Post a Comment