MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AHUDHURIA MISA MAALUM YA KUMUOMBEA MAREHEMU EVODIUS WALINGOZI KANISA LA MTAKATIFU JOSEPH DAR

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisaliamia na Askofu Msaidizi wa Kanisa Katoliki Jimbo Kuu la Dar es
Salaam, Eusebius Nzigilwa wakati wa Misa maalum ya kumuombea Marehemu
Evodius Walingozi, iliyofanyika leo Feb 14 kwenye Kanisa la Mtakatifu
Joseph jijini Dar es Salaam.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akijumuika na baadhi ya waumini wa dini ya Kikristu wakati wa Misa
maalum ya kumuombea Marehemu Evodius Walingozi, iliyofanyika leo Feb 14
kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es Salaam.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akisaliamia na Mwenyekiti wa Bodi ya Madini Wizara ya Fedha Richard
Kasesela, wakati walipokutana katika Misa maalum ya kumuombea Marehemu
Evodius Walingozi, iliyofanyika leo Feb 14 kwenye Kanisa la Mtakatifu
Joseph jijini Dar es Salaam. Katikati yao ni Mwenyekiti wa Kanisa hilo,
Paul Mzuka.

Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Mwenyekiti wa Kanisla la Mtakatifu Joseph, Paul Mzuka,
baada ya kuhudhuria Misa maalum ya kumuombea Marehemu Evodius Walingozi,
iliyofanyika leo Feb 14 kwenye Kanisa la Mtakatifu Joseph jijini Dar es
Salaam. Picha na OMR.
No comments:
Post a Comment