Header Ads

HOTUBA YA RAIS KIKWETE KWENYE MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA KUZALIWA KWA CCM

Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akilakiwa na maelfu ya wananchi wakati akiingia katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  kuongoza kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM
 
kuzaliwa kwa CCM
 Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha sherehe
za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM
  Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha sherehe
za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM
  Sehemu ya gwaride la heshima lililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  katika
 Jakaya Kikwete
 Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete  wakipokea gwaride la heshima
 lililoandaliwa na UVCCM katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM
 Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia maelfu ya wananchi uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM
kuzaliwa kwa CCM
 Mwenyekiti wa Chama Tawala cha CCM Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipokea wanachama wapya akiwa na Mbunge wa Songe Mjini Dkt Emmanuel Nchimi nan Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana katika uwanjawa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha sherehe za
kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM
Msanii Diamond akipongezwa na chipukizi wa UVCCM baada ya kutumbuiza katika uwanja wa MajiMaji mjini Songea leo  katika  kilele cha sherehe za kuadhimisha miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM.Picha na IKULU

No comments:

Powered by Blogger.