Airtel kuendelea kusaidia walemavu hapa nchini kwa kuwaongezea vitendea kazi

Afisa
masoko wa Airtel Haruna Ndyanabo (wa pili Kulia) akimkabidhi Rukia Salum
(wapili Kushoto) mmoja kati ya walemavu waliowezeshwa na Airtel kwa
kupatiwa vibanda vya kisasa vya Airtel Money ili kuweza kijipatia kipato
na kuendeleza Maisha yao ya kila siku. Wakishuhudia ni baadhi ya
walemavu wengine waliowezeshwa na Airtel katika mtaji huo.

Afisa
masoko wa Airtel Haruna Ndyanabo (kushoto) akimkabidhi Peter Gwikama
mmoja kati ya walemavu waliowezeshwa na Airtel kwa kupatiwa vibanda vya
kisasa vya Airtel Money ili kuweza kijipatia kipato.

Afisa
masoko wa Airtel Haruna Ndyanabo (Kulia) akimkabidhi Josephine John
mmoja kati ya walemavu waliowezeshwa na Airtel kwa kupatiwa vibanda vya
kisasa vya Airtel Money ili kuweza kijipatia kipato.
No comments:
Post a Comment