UN Tanzania Waadhimisha Siku ya Kimataifa ya Maadhimisho ya Wahanga wa Maangamizi Makuu ya Moto dhidi ya Wayahudi Jijini Dar leo
Balozi
wa Ujerumani Nchini Tanzania Mh Egon Kochanke akitoa historia fupi ya
wahanga wa maangamizi Makuu ya Moto Dhidi ya Wayahudi katika maadhimisho
yaliyofanyika katika Ukumbi wa Utamaduni wa Russia na kuandaliwa na
Umoja wa Mataifa Tanzania.
Afisa
Habari wa Umoja wa Mataifa Tanzania, Bi Usia Nkhoma akiwakaribisha
wanafunzi wa shule za sekondari za jijini Dar pamoja na wanafunzi wa
Vyuo Vikuu vilivyopo Jijini Dar ambavyo Kuna Klabu za Umoja wa Mataifa
katika ukumbi wa utamaduni wa Russia wakati wa Siku ya Kimataifa ya
Kuadhimisha na kuwakumbuka wahanga wa Maangamizi Makuu ya Moto Dhidi ya
Wayahudi.
Stella
Vuzo, Afisa habari wa Kituo cha Taarifa cha Umoja wa Mataifa Tanzania
(UNIC) akimwelezea Balozi wa Ujerumani Nchini Tanzania, Mh Egon Kochanke
wakati alipotembelea katika ukumbi wa Utamaduni wa Russia ambapo baadhi
ya wanafunzi wa shule za sekondari na vyuo vikuu waliweza ushiriki
katika Kuadhimisha na Kuwakumbuka Wahanga Wa Maangamizi Makuu ya Moto
dhidi ya Wayahudi.
No comments:
Post a Comment