Spika wa Bunge Anna Makinda amelazimika kuahirisha kikao cha Bunge leo baada ya vuta nikuvute iliyotokea baada ya kutolewa kwa hoja binafsi kutoka kwa Mbunge na Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia

Spika wa Bunge Anna Makinda amelazimika kuahirisha kikao cha Bunge kilichoanza jana, baada ya vuta nikuvute iliyotokea baada ya kutolewa kwa hoja binafsi kutoka kwa Mbunge na Mwenyekiti wa chama cha NCCR-Mageuzi, James Mbatia kuhusu jeshi la polisi kumshambulia Profesa Ibrahimu Lipumba jana akiwa kwenye maandamano .
No comments:
Post a Comment