SHEREHE ZA MAULID YA MTUME MUHAMAD (SAW) ZILIVYOFANA JIJINI DAR
.jpg)
Sheikh
wa Mkoa wa Dar es Salaam,Sheikh Mussa Salum akitoa mawaidha wakati wa
Maulid ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhamad (S.A.W) iliyofanyika
usiku wa kuamkia leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam.
.jpg)
Viongozi
mbali mbali wa Kiislam wakijumuika pamoja na Waislam wengine kwenye
Maulidi ya kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhamad (S.A.W) iliyofanyika
usiku wa kuamkia leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam.
.jpg)
Katibu
Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana ambaye ndie aliekuwa mgeni rasmi
akizungumza machache kwenye Maulidi hiyo ikiwa ni pamoja na kuwaasa
watanzania kupendana na kuheshimiana.
.jpg)
.jpg)
Sehemu
ya Waumini wa Dini ya Kiislam wakiwa wamejumuika kwenye Maulidi ya
kuadhimisha kuzaliwa kwa Mtume Muhamad (S.A.W) iliyofanyika usiku wa
kuamkia leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
.jpg)
Balozi
wa Iran nchini Tanzania,Mh. Mehdi Agha Ja'fari (kulia) akimkabidhi
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana zawadi ya kumbukumbu ya
kuzaliwa kwa Mtume Muhamad (S.A.W),wakati Maulidi liyofanyika usiku wa
kuamkia leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam.
.jpg)
Balozi
wa Iran nchini Tanzania,Mh. Mehdi Agha Ja'fari (kulia)
akimkabidhi Sheikh wa Mkoa wa Dar es Salaam,Sheikh Mussa Salum zawadi ya
kumbukumbu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhamad (S.A.W),wakati Maulidi
liyofanyika usiku wa kuamkia leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini
Dar es Salaam.
.jpg)
Sheikh
wa Mkoa wa Dar es Salaam,Sheikh Mussa Salum akijadiliana jambo na
Katibu Mkuu wa CCM,Ndg. Abdulrahman Kinana wakati wa Maulidi liyofanyika
usiku wa kuamkia leo kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es
Salaam.
No comments:
Post a Comment