Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein atoa salamu za mwaka mpya wa 2015

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali
Mohamed Shein akitoa salamu za mwaka mpya wa 2015 kwa wananchi wa Zanzibar na
Tanzania kwa ujumla na kuwatakia mwaka wenye Amani na Utulivu pia mafanikio
makubwa ikiwemo ya Uchumi wa Taifa letu,hafla hiyo ilifanyika jana katika Ukumbi
wa Ikulu Mjini Unguja.Picha na Ikulu-Zanzibar
No comments:
Post a Comment