Waziri
Mkuu, Mizengo Pinda akilakiwa na Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM,
Nape Nnauye baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Songea, jioni ya
leo tayari kushiriki maadhimisho ya miaka 38 ya kuzaliwa kwa CCM
yanayofanyika kitaifa kesho Mkoani Ruvuma ambapo mgeni rasmi atakuwa
Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete.Kulia ni Katibu Mkuu wa
CCM, Abdulrahman Kinana.PICHA NA KAMANDA RICHARD MWAIKENDA;KAMANDA WA
MATUKIO BLOG
Pinda akiwapungia mkono wananchi na wana CCM waliofika kumlaki uwanjani hapo
Vikundi vya sanaa vikitumbuiza wakati wa mapokezi ya Pinda, Kinana na Philip Mangula
PINDA, MANGULA NA KINANA WAWASILI SONGEA KUSHIRIKI MAADHIMISHO YA MIAKA 38 YA CCM
Reviewed by
crispaseve
on
9:17 PM
Rating:
5
No comments:
Post a Comment