PICHA:MAKAMU WA RAIS,DKT. BILAL AZINDUA KITUO CHA KOMPYUTA CHA SKULI YA KIEMBE SAMAKI ZANZIBAR WAFANYIKA
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd Gharib Bilali
kushoto akisalimiana na Balozi mdogo wa China alieko Zanzibar Mr.Xie
Yunliang katika ufunguzi wa Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya Secondary ya
Kiembe Samaki mjini Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimiza miaka
51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk,Mohd Gharib Bilal akikata
Utepe kuashiria ufunguzi wa Kituo cha Kompyuta cha Skuli ya Secondary
ya Kiembe Samaki mjini Zanzibar ikiwa ni Shamra shamra za kutimiza miaka
51 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
No comments:
Post a Comment